Home » » Julius Mtatiro

Julius Mtatiro

Written By Admin on Wednesday, October 5, 2016 | 2:08 AM


Julius Mtatiro

1 comments:

  1. Hongera kwa kukubali majukumu mapya ya ukuu wa Wilaya, kaifanye kazi hii kwa uaminifu mkubwa. Safari yako ya kututumikia watanzania ukiwa umesimama sehemu sahihi ndiyo imeanza.Binafsi nakukubali. Pesa, Nyumba na mashamba mtu huridhi kwa wazazi wake lakini hekima, busara na maarifa hupatikana kwa mungu. Muombe sana mungu hekima yake na maarifa yake ili ukawaamue watu wake kwa haki.Nakutakia kila la kheri ktk utumishi wako. Amen

    ReplyDelete